Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wananchi wengi wa Isfahan kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa huu wamekusanyika katika uwanja wa Imam Hussein (as) uliopo katika Mji wa Isfahan kwa ajili ya kuonyesha sapoti yao na kushukuru Iran kwa sababu ya Operesheni yake ya kijeshi ya "Ahadi ya Kweli - 3" dhidi ya Utawala haram wa Kizayuni.
15 Juni 2025 - 15:34
News ID: 1698434
Your Comment